Jackpot Predictions – Ubashiri wa Jackpot

Jackpot ni mkusanyiko wa mechi zilizochaguliwa mapema na wabashiri ambapo wacheza kamari wanapaswa kubashiri mechi zote kwa usahihi ili kushinda jackpot. Jackpot ni sehemu ya kamari maalum, ambapo asilimia ya pesa ambazo unabeti zinaenda kwa mchango wa fedha za zawadi. Wabashiri wengi watakuhakikishia zawadi ya chini ya jackpot ambayo utashinda iwapo utashinda jackpot. Makala haya yanaangalia baadhi ya jackpot ambazo zinatolewa na wabashiri maarufu.

Tunatoa vidokezo na ubashari wa jackpot kwa jackpot zote za tovuti za kubeti za Tanzania.